BAGAMOYO
Mji wa Bagamoyo, Tanzania, ilikuwa karne ya18. Ilikuwa (pia yameandikwa Bagamojo) mji wa bagamoyo ina Vivutio vya Utalii na Utamaduni ajabu mji huu historia ilikuwa ya kikoloni na kuna majengo ya kale ya wakoloni waliofanya biashara ya UTUMWA na pia kuna bandari muhimu kwa biashara katika pwani ya Afrika Mashariki.
Picha zifuatazo ni mji mkongwe wa Bagamoyo.
- Picha hii ni Jengo la Zamani kama inavyoonekana katika picha..
- Jengo hii ni la kale kivutio lipo watalii wanapenda sana kujionea mazingira ya kale.
- chini nyapara akimuadhibu mtumwa

No comments:
Post a Comment