PICHA TANZICT-Dar es Salaam

  •  Wana ziwi wakiwa wanataniana kwenye Mafunzo ya Teknolojia Tanzactz
  •  Bwana Henry Mtasiwah akipozi katika picha
  •  Washiriki wa Mafunzo wakipata Vifungua Vinywa aka chai
  •  Washiriki wakiwa katika makundi ya TEST waliopewa na Mwalimu wake
  •  Washiriki Viziwi wakimsikiliza kwa Makini mwezeshaji wa TANZACT ambaye ni mwalimu viziwi wakimwangalia Mkalimani hayupo pichani.
  •  Bibi Lupi na Bwana N. Lawa  wakitoa Mada ya Mafunzo kwa wakufunzi Viziwi TOT
  •  Washiriki wakijadili Zoezi waliyopewa na Mwalimu wao Mwezeshaji Bw Jumanne Kitambi

 Mwezeshaji Bwana Jumanne Kitambi wakishauriana jambo na maongezi yao na Mkalimani wa Viziwi Bwana Simba

 Henri mtasiwa akitoa mada kwenye Mafunzo




No comments:

Post a Comment